Skip to content

Latest commit

 

History

History
242 lines (121 loc) · 13.7 KB

swahili.md

File metadata and controls

242 lines (121 loc) · 13.7 KB

BBC News Swahili

Maelfu ya wanajeshi wa Congo kushtakiwa kwa kuwakimbia waasi wa M23

__

Umoja wa Mataifa imeripoti ukiukwaji mkubwa ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji wa genge na utumwa wa kingono kufuatia kuingia kwa waasi wa M23 mwishoni mwa mwezi Januari na hatimaye kuuteka mji mkuu wa Goma.

Ni nani anayeimiliki Gaza?

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 13:10:48

Hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu jinsi Trump atakavyoweza kuchukua udhibiti wa Gaza. Tangazo hilo lililaaniwa kote duniani, nchi nyingi zikiwemo Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Brazil, Australia, Urusi na China zikikataa mpango huo.

Kiongozi wa waasi na ushiriki wake katika machafuko ya Rwanda na DRC

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 03:20:48

Asili ya mzozo huu inaweza kueleweka kupitia hadithi ya mtu mmoja, kiongozi wa M23, Sultani Makenga, ambaye amekuwa akihusishwa na mashtaka mashtaka mbalimbali ya uhalifu wa kivita.

'Ninatamani kurudi shule': BBC yazindua kipindi kwa ajili ya watoto katika maeneo ya vita

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 08:06:57

"Nilipoona shule yangu ikiwa magofu, huzuni kubwa ilinitawala. Natamani irudi kama ilivyokuwa zamani," Tareq anaiambia BBC akiwa Gaza.

Jinsi kucha inavyoelezea hali ya afya yako

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 10:45:23

Tunaangazia ishara ambazo zinaweza kuashiria matatizo ya kiafya kutokana na muonekano wa rangi ya kucha zako.

Jinsi Wasomali wanavyokumbuka vita vya 'Black Hawk Down' miongo mitatu baadaye

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 06:39:40

Black Hawk Down', ni jina la filamu ya Hollywood, limekuwa neno maarufu kwa maafa ya kijeshi ya 1993 nchini Somalia.

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 03:58:31

Arsenal na Spurs zina hamu ya kutaka kumsajili Moise Kean, Manchester United na Aston Villa zamkosa Fermin Lopez, Barcelona wakataa ofa ya kutaka kumsajili Joao Felix.

Sam Nujoma: Mwanamapinduzi aliyeikomboa Namibia

Jumapili, 9 Februari 2025 saa 12:01:55

Aliheshimika na kufahamika kama "Baba wa taifa" na ishara ya mapambano ya kuikomboa Namibia.

Jinsi mabadiliko ya tabianchi yanavyobadilisha ladha ya bia

Jumapili, 9 Februari 2025 saa 09:51:06

Kwa ladha yake ya kuridhisha na ya kuvutia, vinywaji vichache huibua hisia kama bia baridi iliyomwagwa kwenye glasi.

Je, Wamarekani Waarabu watamuangusha Rais wa Marekani Donald Trump?

Jumapili, 9 Februari 2025 saa 08:26:22

Wamarekani Waarabu na Waislamu walishiriki katika kumrejesha Donald Trump Ikulu ya White House.

SADC, EAC zataka M23 na wahusika wengine kuwa sehemu ya mazungumzo

__

Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya kiserikali kujumuishwa katika mazungumzo.

Ni nani wanaohusika na mzozo wa DR Congo?

Jumamosi, 8 Februari 2025 saa 11:10:23

Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na kuzuia waasi hao kuchukua zaidi.

'Tutaishi na kufa katika nchi yetu': Kauli ya Wagaza baada ya Trump kupendekeza kuichukua

Ijumaa, 7 Februari 2025 saa 02:59:22

Hamas, ambayo imedhoofishwa sana bado inadhibiti Ukanda huo, ilisema matamshi ya Trump ni "ya kipuuzi."

'Ngono studioni' na 'vitisho': Wafanyakazi wa Diddy wafichua tabia zake katika tasnia ya muziki

Alhamisi, 6 Februari 2025 saa 12:50:44

Wafanyikazi wa Bad Boy Records wanadai matukio ya kutamausha, katika safari ya Combs kuibuka msanii, ambaye sasa anakabiliana na mashtaka ya biashara ya ngono.

 Fahamu tahadhari aliyoitoa Nyerere kuhusu mgogoro wa mashariki ya DRC

Jumatano, 5 Februari 2025 saa 02:53:43

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma... lakini je, M23 kuiteka Goma pamoja na miji na vijiji vingine katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini kunaweza kuleta suluhu ya vita?

Beijing yajibu -Je, China na Marekani zinaweza kuepuka kuongezeka kwa vita vya biashara?

Alhamisi, 6 Februari 2025 saa 02:59:33

Beijing kuchagua bidhaa zinazotoka Marekani kuzitoza ushuru inaweza kuwa hatua ya ufunguzi kabla ya mazungumzo wa mataifa hayo mawili.

Jinsi majengo ya kihistoria ya Mosul yanavyojengwa tena baada ya uharibifu uliosababishwa na IS

Alhamisi, 6 Februari 2025 saa 09:57:57

Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka mitatu.

Hatua ya Trump kuondoa ufadhili; Wafanyakazi katika mashirika Tanzania wana siutafahamu

Jumatano, 5 Februari 2025 saa 04:09:56

Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache zilizopita imeanza kuleta athari kadhaa hususan barani Afrika kama ilivyokuwa ikitarajiwa.

Mpango wa Trump kuhusu Gaza utaonekana kuwa ukiukaji wa sheria za kimataifa

Jumatano, 5 Februari 2025 saa 11:05:40

Gaza ilikuwa tayari makazi ya Wapalestina waliokimbia au kulazimishwa kutoka makwao katika vita vilivyochangia kuimarika kwa Israeli.

Uganda yakanusha kupeleka wanajeshi zaidi mashariki mwa DRC

__

Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa DRC chini ya operesheni ya pamoja na vikosi vya Congo.

'Saratani ya koo iliondoa sauti na ndoa yangu'

Jumanne, 4 Februari 2025 saa 06:29:46

"Niligundua uvimbe usio na maumivu kwenye shingo yangu ambao ulikataa kuondoka," mama huyo wa watoto wawili ameiambia BBC. Madaktari baadaye walithibitisha 'uvimbe huo aliokuwa akiutibu kwa dawa za kawaida ni saratani.

Chimbuko la vita vya mashariki mwa DRC ni nini?

Jumanne, 28 Januari 2025 saa 03:32:18

Japo eneo la mashariki mwa Congo linalojumuisha majimbo ya Ituri, Kivu kusini na Kivu Kaskazini, yana jumla ya makundi ya wapiganaji zaidi ya 129, kundi la waasi la M23 ndilo lenye historia ya kuzua ghasia.

Amka Na BBC

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Ijumaa, 7 Februari 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Ijumaa, 7 Februari 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumatatu, 10 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Ijumaa, 7 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Alhamisi, 6 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumatano, 5 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki